Birthday ya Staa: Leo Januari 12, Kazaliwa Emre Can wa Liverpool 16:40 Unknown 0 Home, kimataifa, Picha A+ A- Print Email LEO Januari 12 ndiyo siku aliyozaliwa staa ambaye ni kiungo wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya Ujerumani, Emre Can. Can alizaliwa Januari 12, 1994 huko Frankfurt, nchini Ujerumani na kwa sasa ana umri wa miaka 23.
Post a Comment