Klabu ya Southampton imefanikiwa kunasa saini ya beki wa zamani wa klabu za Barcelona na Juventus Martin Caceres.
Beki huyo raia wa Uruguay aliyekuwa huru baada ya kuachana na Juventus amesaini kuichezea Southampton hadi mwishoni mwa msimu huu.
Caceres, anayetimiza umri wa miaka 30 mwezi Aprili ameeleza kuwa amefurahishwa na hatua ya kusaini mkataba na klabu hiyo.
Post a Comment