Aston
Villa imemtimua kocha wake Paul Lambert baada ya Klabu hiyo kushuka
kwenye Msiamo wa ligi kuu England na kuwa hatarini kushuka daraja
Villa
ilipoteza mchezo kwa kupigwa Mabao mawili kwa sifuri na Hull city siku
ya jumanne, ikiwa ni mechi yao ya 10 bila kuondoka na ushindi
Mskoti huyu aliteuliwa mwaka 2012, na kusaini mkataba ambao utamalizika mwezi June mwaka 2018.
Kocha wa kikosi cha kwanza Scott Marshal na Kocha wa Magolikipa Andy Marshall wanashikilia nafasi ya Lambert kwa sasa
Post a Comment