Shirikisho la kanda kanda
nchini England FA sasa linakusudia kuandaa sheria itakayo kupunguza
idadi ya wachezaji kutoka nje ya nchi za Umoja wa Ulaya watakaosajiliwa
katika ligi za nchi hiyo.
Mwenyekiti wa shirikisho hilo Greg Dyke asema kwamba ligi kuu ya
England ipo kwenye hatari ya kutowasaidia wachezaji raia wa Uingereza
kama hatua hazitachukuliwa.Katika mpango pia itaweka sheria ngumu kwa wachazaji wenye vipaji waliokulia nchini humo.
Mikakati hiyo yote ni ya kuimarisha timu ya taifa ya England ambayo imekuwa haifanyi vizuri kwenye mechi za kimataifa.
Post a Comment