Mlinzi wa klabu ya Liverpool Martin Skrtel anaweza kukabiliwa
na adhabu ya kukosa baadhi ya michezo kutokana na kitendo cha
kumkanyaga mlinda mlango wa klabu ya Manchester United David De Gea
katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliofanyika siku ya jumapili
kwenye uwanja wa Anfield ambapo united iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Makamisaa wa mchezo huo hawakuona tukio hilo lakini shirikisho la mpira la Uingereza FA limesema litafatilia kitendo hicho ili kudhibiti matukio hayo yasitokee tena na endapo mchezaji huyo atabainika kufanya kitendo hicho anaweza kukosa michezo mitatu dhidi ya Arsenal, Newcastle pamoja na Blackburn.

Post a Comment