Kikosi cha Simba Kitakachowavaa African Lyon Leo Hiki Hapa
Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi leo kinajitupa uwanjani kuwavaa African Lyon katika mechi ya michuano ya Azam Sports Federation Cup au FA Cup itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Pichani juu ni kikosi kitakachoanza mtanange huo.
Post a Comment