LEO Januari 15 ndiyo siku aliyozaliwa staa wa klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya England, Eric Jeremy Edgar Dier.
Dier anayecheza nafasi ya beki na kiungo mkabaji, alizaliwa Januari 15, 1994 huko Cheltenham, England na kwa sasa ana umri wa miaka 23.
Post a Comment