Kikosi cha Azam Kinachowavaa Taifa Jang'ombe Hiki Hapa
Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kitakachocheza na Taifa Jang'ombe kwenye mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, itakayofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar leo saa 10.15 jioni.
Post a Comment