MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger leo atamuanzisha langoni kipa wake David Ospina katika mechi yao dhidi ya Bayern Munich itakayopigwa leo usiku mjini Munich nchini Ujerumani.
Takwimu za makipa watakaoanza mchezo wa leo. |
Mechi hiyo ya hatua ya 16 bora ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya itapigwa saa 4:45 usiku.
Vikosi. |
Post a Comment