0

Atletico Madrid na Barcelona watakutana katika nusu fainali ya Copa del Rey.

Mechi ya kwanza itapigwa Vicente Calderon Februari 1, 2017, wakati mchezo wa pili ukichezwa Nou Camp wiki moja baada ya ule wa mwanzo.

Ili kutinga nusu fainali hiyo, Atletico waliwaondoa Eibar kwa jumla ya mabao 5-2 wakati Barca wakiwafungisha vilago Real Sociedad kwa jumla ya mabao 6-2 kwenye hatua ya nane bora.

Post a Comment

 
Top