LEO Januari 26 ndiyo siku aliyozaliwa kocha wa klabu ya Manchester United kutoka nchini Ureno, José Mário dos Santos Mourinho Félix, maarufu kama José Mourinho.
Alizaliwa tarehe kama ya leo mwaka 1963 huko Setúbal, Ureno na kwa sasa una umri wa miaka 54.
Post a Comment