0

Jana usiku hatua ya makundi ilifika kikomo ambapo timu 8 zilifanikiwa kuingia hatua ya 8 bora au robo fainali ya AFCON 2017.

Ifuatayo ni orodha ya wachezaji waliocheka na nyavu mpaka sasa ambapo Pierre-Emerick Aubameyang wa Gabon, Sadio Mane wa Senegal, Riyad Mahrez wa Algeria, Islam Slimani wa Algeria, Junior Kabananga wa DR Congo na Naim Sliti wa Tunisia ndiyo wanaoongoza kwa kucheka na nyavu mara mbili kila mmoja.

Orodha kamili ipo hapa chini icheck;

Post a Comment

 
Top