0
Juu ni ratiba ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2017 inayotarajiwa kuanza Jumamosi, Januari 28, 2017 baada ya timu nane kuyaaga mashindano hayo katika hatua ya makundi.

Juu ni msimamo wa makundi manne ulivyokuwa ambapo timu mbili za juu kwenye kila kundi zimetinga hatua ya 8 bora au robo fainali ya michuano hiyo huku timu 2 za chini kutoka kila kundi zikiyaaga mashindano hayo.

Post a Comment

 
Top