0


WAKATI mamilioni ya wapenzi wa soka nchini wakisubiri kwa hamu mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba SC na Azam FC katika fainali ya michuano ya Kombe la Mapinduzi leo saa 2:15 usiku kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar; SOKABONGOTZ inakuletea rekodi za timu hizi zilipokutana huko nyuma.

Timu hizi zimekutana mara 21; Azam FC: Ameshinda 7, Amepoteza 10, Sare 4 wakati Simba: Ameshinda 10, Amepoteza 7, Sare 4

Ligi Kuu Tanzania Bara 

Mechi: 16 (2008-2016)
Azam: Ameshinda 4, Amepoteza 8, Sare 4
Simba: Ameshinda 8, Amepoteza 4, Sare 4

Kombe la Kagame

Mechi: 1 (Julai 2012) katika robo fainali
Matokeo: Azam FC 3-1 Simba

Kombe la Mapinduzi

Mechi: 2 za nusu fainali
Matokeo: Azam FC 2-0 Simba (2012), Azam FC 2-2 Simba (Azam akashinda kwa penalti 5-4).

Kombe la Urafiki

Mechi: 1 (Julai 2012) katika fainali
Matokeo: Azam FC 1-3 Simba

Kombe la Benki ABC

Mechi: 1 (Agosti 2012) katika nusu fainali
Matokeo: Azam FC 1-2 Simba

Post a Comment

 
Top