0




KIKOSI cha Yanga SC leo kimerejea jijini Dar es salaam kikitokea visiwani Zanzibar kilipokuwa kikishiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufungishwa virago na watani wao wa jadi Simba SC kwenye mechi yao ya nusu fainali iliyopigwa jana usiku uwanja wa Amaan visiwani humo.


Kikosi hicho kimetua Dar majira ya saa tisa alasiri na wachezaji wamerejea nyumbani kwao kabla ya kuingia kambini tayari kwa kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Majimaji ya Songea.

Post a Comment

 
Top