0












KLABU ya Arsenal yenye makazi yake jijini London imetambulisha dege lake jipya  aina ya Emirates Airbus A380 ambalo itakuwa ikilitumia kusafiria kwenda kwenye mechi zake za ugenini.


Dege hilo la kifahari lina kila kitu kinachohitajika ambapo kila mchezaji ana kitanda chake huku wakiwa wamewekewa anasa kibao, zikiwemo chaneli za televisheni 2,500 na kila mchezaji ana TV yake.

Aidha katika dege hilo kuna baa ya kisasa yenye vinywaji vya kila aina, vyoo na mabafu lakini pia mazingira mazuri ya kukaa.
   

Post a Comment

 
Top