Pichani juu ndiyo msimamo wa makundi ya michuano ya AFCON 2017 kabla ya mechi za mwisho leo usiku kutoka Kundi D.
Mpaka sasa timu sita tayari zimekata tiketi ya kucheza robo fainali inayotarajiwa kuanza Jumamosi ya Januri 28, 2017.
Timu zilizotinga hatua ya robo fainali mpaka sasa ni Burkina Faso, Cameroon, Senegal, Tunisia, DR Congo na Morocco.
Post a Comment