0



BAADA ya Mnyama, Simba kumaliza mchezo wao wa mwisho wa Kundi A jana katika michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa kuichapa Jang’ombe Boys mabao 2-0 na kujikita kileleni mwa kundi hilo wakijikusanyia jumla ya pointi 10, sasa kesho watajitupa uwanjani kukwaana na mahasimu wao Yanga SC.

Kikosi cha Yanga.

Ikumbukwe kuwa, Yanga ilitinga nusu fainali kutokea Kundi B baada ya kumaliza ikiwa ya pili na pointi sita nyuma ya vinara wa kundi hilo, Azam waliomaliza na pointi saba huku wakiishindilia timu hiyo mabao 4-0 katika mechi yao ya mwisho.

Post a Comment

 
Top