0



KLABU ya Manchester United ndiyo timu iliyojipatia kipato kikubwa kuliko timu yoyote katika msimu uliopita kulingana na taarifa zilizochapishwa na kampuni kubwa ya ukaguzi duniani (Deloitte).
Barcelona.
Manchester United imewapiku vigogo Real Madrid waliokuwa wanashikilia rekodi hiyo baaada ya kukusanya kipato kikubwa takribani Euro milioni 689 katika msimu wa 2015-2016.

Hii ni mara ya kwanza kwa Man U kushikilia nafasi hiyo tokea msimu wa 2003-04.
Real Madrid.
Real Madrid wameshuka mpaka nafasi ya tatu huku wapinzani wao wakubwa Barcelona wakiwa katika nafasi ya pili.

Katika orodha ya 10 bora, timu za England zimeingia timu tano ambazo ni Manchester United nafasi ya 1, Manchester City ya 5, Arsenal ya 7, Chelsea ya 8 na Liverpool ya 9.

Orodha ya 10 bora hii hapa;

Post a Comment

 
Top