0

Samper akiwa Granada.
KIUNGO wa Barcelona ambaye yupo Granada kwa mkopo, Sergi Samper ameeleza jinsi alivyomjibu kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kwamba hakuwa tayari kusikiliza ofa yoyote kutoka kwake.

Samper, 21, amesema Wenger alimtafuta mwaka jana akiwa na nia ya kumjumuisha kwenye kikosi chake ila alimwambia kwamba hakuwa na mpango wowote wa kuihama Barcelona maana alipenda kupata mafanikio kupitia klabu yake hiyo inayoshiriki La Liga.

Post a Comment

 
Top