MCHEZAJI mkongwe wa klabu ya Arsenal, Robert Pires, 43, ametupia picha zake kadhaa katika akaunti yake ya Instagram zikionyesha tattoo yake mpya inayochorwa katika mkono wake wa kulia.
Miongoni mwa picha alizotupia mkongwe huyo aliyewahi kukichezea kikosi cha timu ya taifa ya Ufaransa, ni pamoja na picha akiwa na mkewe Jessica Lemarie ambaye naye alikuwa akionyesha tattoo yake ya mkononi.
Imeelezwa kuwa tattoo hiyo mpya ya Pires inayochorwa ni ya simba.
Post a Comment