LEO Januari 16 ndiyo siku aliyozaliwa staa wa klabu ya Manchester City na timu ya taifa ya Argentina, Pablo Javier Zabaleta.
Zabaleta anayecheza nafasi ya beki wa kulia, alizaliwa Januari 16, 1985 huko Buenos Aires, Argentina na kwa sasa ana umri wa miaka 32.
Post a Comment