LEO Januari 14 ndiyo siku aliyozaliwa staa wa Crystal Palace na timu ya taifa ya Ufaransa, Yohan Cabaye.
Cabaye anayecheza nafasi ya kiungo wa kati, alizaliwa Januari 14, 1986 kwa sasa akiwa na umri wa miaka 30 huko Tourcoing nchini Ufaransa, ana urefu wa mita 1.75
Post a Comment