Azam FC Waanza Rasmi Mazoezi ya Kumuua Mnyama 'Simba SC'
Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, jioni ya leo ndani ya Uwanja wa Dimani imeanza rasmi mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Simba utakaofanyika keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar saa 2.15 usiku.
Post a Comment