Schneiderlin Atua Everton kwa Ajili ya Vipimo
KIUNGO wa kati wa Manchester United Morgan Schneiderlin leo ametua katika klabu ya Everton kwa ajili ya kufanyiwa vipimo ili akamilishe taratibu za usajili wake kujiunga na timu hiyo.
Tayari Manchester United na Everton zimeishakubaliana kuuziana mchezaji huyo raia wa Ufaransa kwa kitita cha pauni milioni 22 huku kukiwa na nyongeza nyingine hadi inayopelekea usajili wake kuwa pauni milioni 24.
Post a Comment