Michuano ya AFCON 2017, inaendelea leo nchini Gabon ambapo timu za Kundi B zitakuwa uwanjani kuwania pointi zitakazoziwezesha kuingia hatua ya robo fainali.
Katika mechi ya kwanza itakayopigwa saa 1:00 usiku, Algeria watakipiga na Tunisia ambapo mechi ya pili itazikutanisha Senegal na Zimbabwe saa 4:00 usiku.
Ufuatao ni msimamo wa Kundi B kabla ya mechi za leo;
Post a Comment