Ufuatao ni msimamo wa makundi ya michuano ya AFCON 2017 baada ya mechi za leo za Kundi C kumalizika.
Kila timu kutoka Kundi A, B na C imecheza mechi moja na timu ambazo hazijacheza mpaka sasa ni kutoka Kundi D.
Hapa chini kuna orodha wa wachezaji waliofunga mabao mpaka sasa huku Riyad Mahrez wa Algeria akiongoza kwa kutupia mabao mawili katika mechi moja waliyocheza huku wengine wakiwa na bao mojamoja.
Post a Comment