KIKOSI cha Yanga SC kimeendelea kujifua tayari kuwakabili wapinzani wao Zanaco ya Zambia
hapo kesho Jumamosi katika mchezo wao wa kwanza hatua ya 32 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezo huo utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam utaonyeshwa mubashara na Televisheni ya Azam, jambo ambalo ni faraja kwa mashabiki wa timu hiyo ambao hawataweza kwenda uwanjani, hususani wa nje ya Jiji la Dar es Salaam.

Post a Comment