Zlatan Ibrahimovic Ndiye Mchezaji Bora wa Mwezi Desemba Premier League
STRAIKA wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Desemba katika Premier League baada ya kuifungia timu yake mabao matano.
Staa huyo mwenye umri wa miaka 35 mpaka sasa ameifungia timu yake hiyo jumla ya mabao 18 katika michuano yote inayoshiriki.
Post a Comment