Makocha wa timu hizo. |
Manchester United wanawakaribisha Liverpool katika mtanange wao wa leo wa Ligi Kuu ya England 'Premier League' utakaopigwa Old Trafford.
Mechi ya leo inatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na vikosi vyote viwili vilivyosheheni wachezaji wenye uwezo wa kusakata kabumbu huku wakiongozwa na makocha wao mahiri Jurgen Klopp wa Liverpool na Jose Mourinho wa Manchester United.
Mechi hiyo itapigwa saa 1:00 usiku na hapo juu ni vikosi vya timu hizo mbili.
Post a Comment