0



Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi 'Simba SC' leo kinacheza mchezo wa 19 katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar. Mechi hiyo itapigwa saa 10:30 jioni katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Nao mabingwa wa Kombe la Mapinduzi mara tatu, Azam FC leo watajitupa uwanjani kumenyana na kikosi cha Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam leo saa 1:00 usiku.

Post a Comment

 
Top