LEO Januari 13 ndiyo siku aliyozaliwa staa aliyewahi kuichezea timu ya taifa ya Poland nafasi ya beki, Jacek Wojciech Gmoch.
Gmoch mwenye miaka 77 alizaliwa Januari 13, 1939 huko Pruszków, Poland na amewahi kuwa kocha wa timu za Panathinaikos, Olympiacos, Athinaikos na timu ya taifa ya Poland.
Post a Comment