Rais wa Madrid, Florentino Perez
ameonyesha michoro ya uwanja huo itaoufanya kuwa uwanja bora zaidi duniani.
Project hiyo inatarajia
kuwa ya miaka mitatu na itauongezea uwanja huo uwezo wa kuchukua watu kutoka 85,454
hadi 90,000.
Madrid ndiyo klabu namba moja kwa utajiri duniani.
Post a Comment